MKUU wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka (Kushoto Pichani) akielezea umuhimu wa kampuni zinazounda mashine za kilimo kutangaza zaidi mashine zinazochimba mashimo ili kurahisisha kilimo cha zabibu akiwa ametembelea na kukagua baadhi ya mabanda katika Maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yanayofanyika katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.