KAIMU Mganga wa wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Fransis Hoya (Wa Pili Kushoto) akijifunza kuhusu msumeno katika Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.