KARIBU TUKUHUDUMIE KATIKA BANDA LETU LA MAONYESHO LA NANE NANE 2025.
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2025
BANDA letu linapatikana Geti la Mashariki barabara ya kutokea Uwanjani, Mbeya Viwanja vya John Mwakangale.
Pia kikundi kilichonufaika na mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya Halmashauri (G-Mass Tailoring), msindikaji wa matunda asili kupata wine "RODAPEA", Taasisi isiyo ya kiserikali "Care International" na Mwendamseke Asali Halisi.
KAULI MBIU: "Chagua viongozi bora kwa maendeleo ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi 2025"