KARIBU TUKUHUDUMIE KATIKA BANDA LETU LA MAONYESHO LA NANE NANE 2025.
Tarehe iliyowekwa: August 2nd, 2025
BANDA letu linapatikana Geti la Mashariki barabara ya kutokea Uwanjani, Mbeya Viwanja vya John Mwakangale.
Bidhaa zinazopatikana ni Unga bora wa Lishe na Soya, Asali halisi, Viazi mviringo, bustani za mbogamboga, Ng'ombe, Kuku, Bata bukini na vinginevyo vingi ikiwemo ubunifu wa majiko banifu, wine kutoka kwenye matunda ya asili, upimaji wa Afua za Lishe na AMCOS.