UZINDUZI WA MIKUTANO YA WAKUU WA MIKOA, WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA VYOMBO VYA HABARI.
01 November 2023
Idara ya Habari Maelezo imezindua mikutano ya Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri na Vyombo vya Habari ikiwa lengo ni kuhabarisha umma mafanikio ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.