Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anawakaribisha Wananchi wote kwenye hafla ya Uzinduzi wa Madarasa yaliyojengwa kwa Mradi Na 5441 TCRP,Uzinduzi huo utafanyika Tarehe 24/12/2021 katika Kata ya Uhenga Kijiji cha Mapogolo kuanzia Saa 4:00 asubuhi.Mgeni Rasmi ni Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Lauteri John Kanoni.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.