Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anawatangazia wananchi wote kuwa Tarehe 20.05.2022 kutakuwa na Mkutano wa Wadau wa Zao la Parachichi utakaofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya.Mgeni rasmi atakuwa Mhe Mkuu wa Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba.Mkutano huo utaanza saa 3:00 asubuhi nyote Mnakaribishwa.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.