Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anapenda kuwatangazia watumishi wa ajira mpya wa kada za Afya na Elimu ili kurahisisha na kuondoa usumbufu unaoweza jitokeza wakiwa safarini kwenda kuripoti imeandaa orodha ya namba za simu ambazo watumishi wataweza wasiliana moja kwa moja na viongozi ili kupata namba hizo bofya hapo mawasiliano.pdf
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.