Saturday 7th, December 2019
@TARAFA YA MDANDU NA ITARAFA YA IMALINYI
Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wakikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe wakikagua Miradi hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri alimpongeza Mkuu wa Shule ya sekondari Mount Kipengere kwa kazi nzuri ya usimamizi wa ujenzi wa madarasa,Mabweni na Vyoo,pamoja na pongezi hizo Wajumbe walitoa maoni yao katika mapungufu waliyoyaona kwa ajili ya kuboresha zaidi.Wajumbe wa kamati pia walitembelea miradi ya Maji katika kata ya Makoga na Itulahumba ambapo miradi hiyo inaendelea kutekelezwa na mingine ikiwa imekamilika.
Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.
Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe
Simu ya mezani: 0766050788
Simu ya Kiganjani: 0766050788
Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz
Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa