1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA FOMU YA WAZI YA MAPITIO NA UPIMAJI UTENDAJI KAZI (Ijazwe nakala tatu) Kutoka Julai ………….. Hadi Juni …………….. Fomu hii ni badala ya fomu nyingine zote zinazotumika kupima utendaji kazi katika Utumishi wa Umma. Aidha inakusudiwa kukidhi utekelezaji wa shabaha na malengo ya menejimenti katika utumishi wa umma na kujenga uhusiano mzuri wa utendaji kazi kati ya viongozi na wanaowaongoza. DONDOO ZA NAMNA YA KUKAMILISHA FOMU: 1. Fomu hii ijazwe na watumishi wote walioko katika Utumishi wa Umma. Kwa Maofisa Wakuu (Principal Officers) na kuendelea baada ya kukamilisha fomu hii nakala halisi iwasilishwe kwa Katibu Mkuu (Utumishi), nakala ya pili ipelekwe kwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi/Asasi husika, na nakala ya tatu apewe mtumishi anayehusika. Maofisa wengine wote kuanzia Maafisa Waandamizi (Senior Officers) kwenda chini nakala halisi iwasilishwe kwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi/Asasi husika, nakala ya pili ipelekwe kwa Wizara Mama ya kada husika na nakala ya tatu apewe mtumishi anayehusika. 2. Pale panapohusika kila kisanduku hapa chini kikamilishwe ama kwa herufi kubwa au tarakimu moja. 3. Malengo yatakayohusu mtumishi yatokane na mpango wa kazi wa Taasisi (Strategic Plan) ukiainisha mpango wa utekelezaji kazi wa mwaka na ratiba ya kazi ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika mwaka huo. 4. Sehemu ya 2, ya 3 na ya 4 ya Fomu hii ikamilishwe na mtumishi anayepimwa kwa kushirikiana na Msimamizi wake wa kazi na Sehemu ya 5 na ya 6 zikamilishwe akiwepo Msikilizaji kama ni muhimu. 5. Zingatia kwamba alama 1 ya utendaji wa kazi ni ya watendaji waliotekeleza malengo yote na ya ziada kwa ufanisi na alama 5 ni ya watendaji wasioridhisha na wasiotimiza malengo. Taarifa za hawa wote zifikishwe kwa mwajiri wa Taasisi/Asasi husika. SEHEMU YA 1. TAARIFA BINAFSI Fungu Cheki namba Jina la Fungu Kifungu Kituo cha kazi Jina la Kifungu mk me Jina kamili Jina la mwisho Jina la kwanza Jina la kati Jinsia Kiwango cha juu cha elimu Cheo cha Madaraka Cheo cha muundo Tarehe ya kuajiriwa Tarehe ya cheo cha sasa D D M M Y Y Y Y D D M M Y Y Y Y Ngazi ya mshahara Muda uliotumikia chini ya msimamizi wa sasa Tarehe ya kuzaliwa Miezi D D M M Y Y Y Y Masharti ya kazi DD= Tarehe, MM= Mwezi, YYYY= Mwaka, mk= Mke, me= Mume TFN 832 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA FOMU YA WAZI YA MAPITIO NA UPIMAJI UTENDAJI KAZI (Ijazwe nakala tatu) Kutoka Julai ………….. Hadi Juni …………….. Fomu hii ni badala ya fomu nyingine zote zinazotumika kupima utendaji kazi katika Utumishi wa Umma. Aidha inakusudiwa kukidhi utekelezaji wa shabaha na malengo ya menejimenti katika utumishi wa umma na kujenga uhusiano mzuri wa utendaji kazi kati ya viongozi na wanaowaongoza. DONDOO ZA NAMNA YA KUKAMILISHA FOMU: 1. Fomu hii ijazwe na watumishi wote walioko katika Utumishi wa Umma. Kwa Maofisa Wakuu (Principal Officers) na kuendelea baada ya kukamilisha fomu hii nakala halisi iwasilishwe kwa Katibu Mkuu (Utumishi), nakala ya pili ipelekwe kwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi/Asasi husika, na nakala ya tatu apewe mtumishi anayehusika. Maofisa wengine wote kuanzia Maafisa Waandamizi (Senior Officers) kwenda chini nakala halisi iwasilishwe kwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi/Asasi husika, nakala ya pili ipelekwe kwa Wizara Mama ya kada husika na nakala ya tatu apewe mtumishi anayehusika. 2. Pale panapohusika kila kisanduku hapa chini kikamilishwe ama kwa herufi kubwa au tarakimu moja. 3. Malengo yatakayohusu mtumishi yatokane na mpango wa kazi wa Taasisi (Strategic Plan) ukiainisha mpango wa utekelezaji kazi wa mwaka na ratiba ya kazi ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika mwaka huo. 4. Sehemu ya 2, ya 3 na ya 4 ya Fomu hii ikamilishwe na mtumishi anayepimwa kwa kushirikiana na Msimamizi wake wa kazi na Sehemu ya 5 na ya 6 zikamilishwe akiwepo Msikilizaji kama ni muhimu. 5. Zingatia kwamba alama 1 ya utendaji wa kazi ni ya watendaji waliotekeleza malengo yote na ya ziada kwa ufanisi na alama 5 ni ya watendaji wasioridhisha na wasiotimiza malengo. Taarifa za hawa wote zifikishwe kwa mwajiri wa Taasisi/Asasi husika. SEHEMU YA 1. TAARIFA BINAFSI Fungu Cheki namba Jina la Fungu Kifungu Kituo cha kazi Jina la Kifungu mk me Jina kamili Jina la mwisho Jina la kwanza Jina la kati Jinsia Kiwango cha juu cha elimu Cheo cha Madaraka Cheo cha muundo Tarehe ya kuajiriwa Tarehe ya cheo cha sasa D D M M Y Y Y Y D D M M Y Y Y Y Ngazi ya mshahara Muda uliotumikia chini ya msimamizi wa sasa Tarehe ya kuzaliwa Miezi D D M M Y Y Y Y Masharti ya kazi DD= Tarehe, MM= Mwezi, YYYY= Mwaka, mk= Mke, me= Mume TFN 832 SEHEMU YA 2. MAKUBALIANO YA UTENDAJI KAZI Ijazwe na mtumishi anayepimwa kwa makubaliano na Msimamizi wa Kazi 2.1 Namba 2.2 Malengo Yaliyokubalika 2.3 Malengo ya Utendaji Yaliyokubalika 2.4 Vigezo vya Utendaji Vilivyokubalika 2.5 Mahitaji ya Rasilimali Zilizokubalika 2.6 Mtumishi Anayepimwa 2.7 Msimamizi wa Kazi Jina (Kwa herufi kubwa) Saini Tarehe Jina (Kwa herufi kubwa) Saini Tarehe 2 SEHEMU YA 3: MAPITIO YA NUSU MWAKA (DESEMBA……………….) MAPITIO YA NUSU MWAKA (DESEMBA……………….) Ijazwe na mtumishi anayepimwa kwa makubaliano na Msimamizi wa Kazi 3.1 Namba 3.2 Malengo Yaliyokubalika (kama Sehemu ya 2) 3.3 Maendeleo ya Utekelezaji Kufikia Lengo 3.4 Sababu yenye Kuathiri Utekelezaji 3 SEHEMU YA 4: KUREKEBISHA MALENGO (pale inapohusika) KUREKEBISHA MALENGO (pale inapohusika) Ijazwe na mtumishi anayepimwa kwa makubaliano na Msimamizii wa Kazi 4.1 Namba 4.2 Marekebisho ya Malengo Yaliyokubalika 4.3 Malengo ya Utendaji Yaliyokubalika 4.4 Vigezo vya Utendaji Vilivyokubalika 4.5 Mahitaji ya Rasilimali Zilizokubalika 4.6 Mtumishi Anayepimwa 4.7 Msimamizi wa Kazi Jina (Kwa herufi kubwa) Saini Tarehe Jina (Kwa herufi kubwa) Saini Tarehe 4 SEHEMU YA 5: UPIMAJI WA UTENDAJI KAZI WA MWAKA (JUNI ……………) Ijazwe na mtumishi anayepimwa kwa makubaliano na Msimamizi wa Kazi 5.1 5.2 Malengo 5.3 Maendeleo ya Utekelezaji 5.4 Alama Iliyotolewa Namba Yaliyokubalika wa Malengo Yaliyofikiwa Mtumishi Msimamizi Alama Zilizoafikiwa Jumuisho la Kiwango cha Alama za Utendaji: Jumuisho hili lionyeshe mafanikio ya malengo ya utekelezaji yaliyokubalika sehemu 5 Alama: 1 = Utekelezaji wa malengo yote na ya ziada kwa ufanisi 4 = Utekelezaji usioridhisha ambao ni chini ya wastani bila 2 = Utekelezaji wa malengo yote kwa ufanisi sababu za kutosha 3 = Utekelezaji wa wastani kwa malengo yote5 = Utekelezaji usioridhisha na usiozingatia malengo 5 SEHEMU YA 6: SIFA ZA UTENDAJI BORA Ijazwe na mtumishi anayepimwa na Msimamizi wa Kazi 6.1 Namba 6.2 Vigezo Muhimu 6.3 Ubora wa Sifa 6.4 Alama iliyotolewa Mtumishi Msimamizi Alama Zilizoafikiwa 1 MAHUSIANO KAZINI Uwenzo wa kufanya kazi na wenzi Uwezo wa kushirikiana na wenzi Uwezo wa kustahiliwa na wenzi 2 MAWASILIANO NA USIKIVU Uwezo wa kujieleza kimaandishi Uwezo wa kujieleza kwa kunena Uwezo wa usikivu na ufahamu Uwezo wa kufunza na kuendeleza 3 UONGOZI NA USIMAMIZI Uwezo wa kupanga na kusimamia Uwezo wa kuongoza, kuhamasisha na kutatua migongano Uwezo wa ubunifu na uanzishaji 4 UBORA WA UTENDAJI Uwezo wa kutoa matokeo sahihi kwa wakati Uwezo wa kuhimili utekelezaji na kuendelea kwa muda mrefu. 5 UTENDAJI UNAOZINGATIA WINGI WA MATOKEO Uwezo wa kufikia malengo Uwezo wa kumudu majukumu ya ziada 6 UWAJIBIKAJI NA UTOAJI WA MAAMUZI Uwezo wa uwajibikaji katika kutekeleza majukumu Uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati muafaka 7 KUTHAMINI WATEJA Uwezo wa kuhudumia wateja 8 UAMINIFU Uwezo wa kuonyesha stadi za uongozi Uwezo wa kumsaidia Kiongozi kutekeleza majukumu yake Uwezo wa kupokea na kutekeleza maelekezo 9 UADILIFU Uwezo wa kutekeleza majukumu kikamilifu kwa muda uliopangwa Hutoa huduma bora bila vishawishi Uwezo wa kutumia taaluma kwa manufaa ya umma Jumuisho la Kiwango cha Alama za Utendaji Sehemu ya 6 Alama: 1 = Utekelezaji wa malengo yote na ya ziada kwa ufanisi 4 = Utekelezaji usioridhisha ambao ni chini ya wastani bila 2 = Utekelezaji wa malengo yote kwa ufanisi sababu za kutosha 3 = Utekelezaji wa wastani kwa malengo yote5 = Utekelezaji usioridhisha na usiozingatia malengo 6 SEHEMU YA 7. UTENDAJI WA JUMLA (WASTANI WA SEHEMU YA 5 NA 6) MAONI YA MTUMISHI ANAYEPIMWA (kama yapo): . UTENDAJI WA JUMLA (WASTANI WA SEHEMU YA 5 NA 6) MAONI YA MTUMISHI ANAYEPIMWA (kama yapo): ……………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………………………… ………………………………….. Saini ya mtumishi anayepimwa MAONI YA MSIKILIZAJI (kama yapo): …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………… ………………………… ………………… Jina la Msikilizaji Saini Tarehe MAONI YA MSIMAMIZI (kama yapo): …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………………………………………………………………………………………………………… …………………………………… ………………………… ………………… Jina la Msimamizi Saini Tarehe SEHEMU YA 8: TUZO/HATUA ZA KUBORESHA UTENDAJI/HATUA ZA KINIDHAMU Msimamizi wa kazi atapendekeza aina ya tuzo au hatua za kuboresha utendaji wa mtumishi ama hatua za kinidhamu kulingana na kiwango cha utekelezaji wa malengo yaliyokubalika. 7