Mhe. Agnetha Mpangile ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wangoing'ombe akiwa ni Diwani wa Kata ya Ulembwe.