• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA WANGING'OMBE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA - IHANJA

Tarehe iliyowekwa: November 26th, 2023

Na. Mwandishi Wetu,

Rukia Omary,


 
Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Mhe. Claudia Kitta ameambatana na Wataalamu wa Wadau wa Afya kutoka Shirika lisilo la Kiserikali Helen Keller International - HKI, ambao wamewezesha programu maalumu ya Operesheni ya Mtoto jicho katika Hospitali ya Wilaya ya Ihanja. Katika Ziara hii Mkuu wa Wilaya ametembelea wodi mbalimbali za huduma za awali na  walizolazwa wagonjwa wa Operesheni ya macho.
 
Mkuu wa Wilaya amefurahishwa na huduma hii ya macho inayotolewa na Shirika la Helen Keller International kwa Kuonesha uzalendo kwa Wananchi wa Wilaya ya Wanging’ombe kwakutambua mchango wa kuwafikishia huduma hii ya matibabu pia kutoa Shukrani kwa uongozi wa awamu ya sita wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wake wa Matibabu kwa Wananchi pia Wizara ya Afya na TAMISEMI kwa Kushirikiana na Shirika Hili kuleta huduma Vijijini.


Kwa upande wake Meneja Mradi wa Shirika lisilo la kiserikali na Mdau wa Afya Bw. Athman Tawakal amesema anashukuru sana kwa wananchi wengi kujitokeza na kupata matibabu kwa jitihada za wahudumu wa afya ngazi ya jamii walipita kaya kwa kaya kuwabaini wagonjwa  na mpaka sasa matibabu yametolewa kwa wagonjwa 185 shirika hili limelenga kufanya matibabu zaidi ya wagonjwa 300 na tumeanza na kata chache katika wilaya hii yenye idadi ya vijiji 108 na kata 21  hivyo tunashukuru kwa ushirikiano tulioupata kutoka kwa jamii bado jamii inahitaji huduma hii, hivyo bado huduma hii ni endelevu na tunaendelea kuitoa kwa kushirikiana na timu ya madaktari na zoezi hili linahusisha wananchi wote bila gharama yoyote.
 
Aidha, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Dkt. Frank Chiduo ameshukuru Shirika hili kuwezesha huduma katika Wilaya hii na kujivunia kuwa Wilaya ya Kwanza kuzindua Matibabu haya hivyo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza na kupata huduma hii



Wananchi wanaipongeza serikali kwa kuwajali,kuwathamini na kutambua umuhimu wa wananchi wake hasa katika kushiriki katika shughuli za kijamii.


Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.