• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WAZAZI WAASWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI - WANGING’OMBE.

Tarehe iliyowekwa: February 11th, 2026

Na. Nickson Kombe,


WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa msatari wa mbele katika kukemea vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa watoto ili kutokomeza/kupunguza vitendo hivyo viovu katika jamii na kuendelea kubaki salama.


Maoni hayo yamesemwa leo Februari 10, 2026 na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe, Wakili Joshua Sanga katika kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama dhidi ya Ukatili wa Wanawake na Watoto ambapo kikao hiko kimefanyika ukumbi wa Halmashauri, ikiwa lengo ni kufanya tathimini ya utekelezaji wa shughuli za Ustawi wa jamii, kikishirikisha viongozi wa dini, Afisa wa Dawati la Jinsia-Polisi, Hakimu wa Mahakama ya Wilaya, Maafisa Elimu wa Sekondari na Msingi, Afisa Uhamiaji, Askari Magereza na Taasisi isiyo ya kiserikali “UWODO”.


Wazazi wameshauriwa “kuwakagua na kuongea na watoto wao kirafiki zaidi ili kuweza kutambua changamoto mbalimbali hasa za vitendo vya ukatili zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi kabla ya kuleta madhara ikiwa pamoja na kutoa taarifa kwenye mamlaka husika hususani Jeshi la Polisi” ameyasema hayo Wakili Sanga.


Kwa upande wa maafisa Ustawi wa jamii wameshauriwa kuendelea kuwa shirikishi na kujiongeza kutumia mbinu mbadala ili watakaobainika Kutenda vitendo vya ukatili kwa Watoto/wanawake kufikishwa mbele ya mkono wa sheria na kuhukumiwa ili jamii ipate funzo. Hali ambayo itapelekea kuwa na jamii zenye maadili bora, afya njema na kupelekea kukua Uchumi wa kaya na nchi kwa ujumla, ameyasema hayo Kaimu Mganga Mkuu, Wanging’ombe, Dkt. Fransis Hoya.


Aidha Wasilisho la Afisa Ustawi wa Jamii, Bw. Barnabas Sichone ameweka bayana changamoto wanazokumbana nazo katika kazi zao ikiwemo kukosa Ushahidi au Mashahidi kutokutoa ushirikiano pindi wanapohitaji kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watuhumiwa ambapo wameendelea kutoa elimu kwenye jamii na wanatumia kauli mbiu isemayo “KUANZIA SASA, NASIMAMA IMARA, SITANYAMAZA TOKOMEZA UKATILI”.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA WANGING'OMBE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025.. October 15, 2025
  • Itizame yote

Habari mpya

  • DKT. NINDI AAHIDI KUFANYA MKOA WA NJOMBE KUWA WA KIPEKEE ZAIDI.

    February 13, 2026
  • MITI 2,000 YAPANDWA KATIKA MJI WA IGWACHANYA-WANGING'OMBE.

    February 12, 2026
  • WAZAZI WAASWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI - WANGING’OMBE.

    February 11, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (NHIF) YATOLEWA KWA WADAU WA AFYA.

    February 06, 2026
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.