• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

WANANCHI MSIMBAZI WANUFAIKA NA MRADI WA TASAF

Tarehe iliyowekwa: March 29th, 2018

WANANCHI MSIMBAZI WANUFAIKA NA MRADI WA TASAF

Kaimu Mwenyekiti Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango Mhe Paulina Samata Mwinami , ametoa shukrani zake za dhati kwa TASAF kwa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa,  vyenye jumla ya thamani ya Tsh 34,764,213.18/=  Mhe alitoa pongezi hizo katika kijiji cha Msimbazi hivi karibuni wakati wa ukaguzi wa Miradi ya maendeleo inayotekelezwa.Katika ziara hiyo Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri aliongozana na wajumbe wa kamati hiyo.

Aidha wajumbe wa kamati walipongeza jitihada za wananchi kwa kuchangia nguvu kazi katika mradi huo,kwani TASAF walitoa jumla ya Tsh 65,014,285.53/= na kutumia kiasi cha Tsh 34,764,213.18/= hivyo kubakiwa na Tsh 30,250072.53/= zitakazofanya shughuli nyingine. “Nawaomba wananchi wenzangu tuendelee kuchangia nguvu kazi katika miradi hii inayoletwa na Serikali ili tuweze kummuunga Mkono Mhe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano katika jitihada za kuleta maendeleo”.alisema

Katika ziara hiyo kamati ilikagua miradi mingine inayotekelezwa ndani ya Halmashauri miradi hiyo ikiwa ni

  • Mradi wa maji katika kijiji cha kipengere wenye thamani ya Tsh 346,911,917/=
  • Mradi wa ujenzi wa Darasa katika Shule ya Sekondari Philip Mangula wenye thamani ya Tsh 12,604,895/=
  • Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili na ofisi moja shule ya Msingi Mambegu wenye thamani ya Tsh 30,700,000/= ikiwa ni Fedha kutoka Serikali Kuu na Mchango wa Mhe Gerson Lwenge Mbunge.
  • Mradi ujenzi wa bweni la wasichana shule ya sekondari Wangingombe wenye thamani ya Tsh 75,000,000/=
  • Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya Madarasa,ofisi moja,matundu nane ya vyoo na chumba maalum shule ya msingi Ilembula wenye thamani ya Tsh 96,823,000/=

Aidha wajumbe waliwapongeza wataalam kwa kusimamia vema Miradi hiyo na kuwataka waendelee kusimamia miradi inayoendelea kutekelezwa, pia kushirikisha wataalamu katika maeneo husika miradi inakotekelezwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.