• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Shilingi Milioni 94 kuwanufaisha akina Mama,Vijana na Walemavu Wanging'ombe

Tarehe iliyowekwa: January 23rd, 2019

Wananchi Wilayani Wanging'ombe wameaswa kutumia fedha vizuri ili kuleta tija katika shughuli zao za kiuchumi, Wananchi hao wameaswa na Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Comrade Ally Kasinge tarehe 23/01/2019 katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Igwachanya, wakati wa hafla ya ugawaji wa hundi kwa vikundi vya akina mama, vijana na Walemavu aidha jumla ya Tsh Milioni 94 zimegawiwa kwa vikundi 45 vyenye idadi wanawake 225 vijana 90 na walemavu15.”Ninayo furaha kubwa leo kushiriki katika uzinduzi wa utoaji wa mikopo isiyo na riba kwa vijana,wanawake na walemavu.utoaji wa mikopo hii unalenga kutekeleza ilani ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 sura ya tano ambayo ni uwezeshaji wananchi kiuchumi.Serikali inatambua kwamba kuwawezesha wananchi kiuchumi ni hatua ya msingi katika kujenga Taifa lililo imarika kiuchumi na lenye lengo la kuijtegemea” Alisema Mkuu wa Wilaya.

Aidha katika hafla hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mhe Emmanuel Mahwata aliwataka wanufaika wa fedha hizo kuzitumia vizuri ili ziweze kuongeza kipato na hivyo kutimiza lengo la Serikali la kukuza uchumi.Aliwakumbusha kuwa fedha hizo zinatokana na mapato ya Ndani ya Halmashauri ambapo yeye ndie msimamizi mkuu na kuwaomba kuwahimiza wananchi kuweza kulipa tozo mbalimbali za Halmashauri ili jambo hilo liwe endelevu kwani bila Kukusanya fedha hizo ambazo ni asilimia 10 ya makusanyo haziwezi kupatikana.Pia aliwasihi wanufaika wa makundi yote kurejesha kwa wakati fedha hizo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.