SASA UNAWEZA KUPATA ZABUNI ZA UMMA KWENYE NGAZI ZA MSINGI (SERIKALI ZA MITAA) KAMA VILE SHULE, ZAHANATI NK. KUPITIA MFUMO WA NeST.
Tarehe iliyowekwa: January 1st, 2025
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja anawatangazia wazabuni wote na kuwaalika kushiriki zabuni mbalimbali ndani ya Halmashauri kupitia mfumo wa manunuzi NEST unaosimamiwa na PPRA.
Kwa Taarifa zaidi, Tembelea tovuti ya NeST: (https://nest.go.tz).