• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MITI 2,000 YAPANDWA KATIKA MJI WA IGWACHANYA-WANGING'OMBE.

Tarehe iliyowekwa: February 12th, 2026

Na. Baraka Tarimo,


KAMA ilivyo sera ya Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira ya Serikali Awamu ya Sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kila wilaya kuendelea kupanda na kuitunza miche ya miti ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.


Akiongoza zoezi hilo leo tarehe 11 Februari 2026, Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe, Mhe. Zakaria Saili Mwansasu amehakikisha miche ya miti 2,000 ya aina Mdodoma, Krismasi n.k kupandwa pembezoni wa barabara za mji wa Igwachanya uliopo wilayani Wanging'ombe.


Mhe. Mwansasu ametumia fursa hiyo kuwakumbusha watumishi wa umma na wananchi kuhusu mpango mkakati wa kitaifa wa upandaji miti takribani milioni 1.5 Kila mwaka, ambapo Katika msimu wa mwaka 2025/2026, jumla ya miche 2,244,334 imeoteshwa, sawa na asilimia 149.6 ya lengo.


Mkuu wa Wilaya amewataka viongozi ngazi ya kata, vijiji na vitongoji kuendelea kuhamasisha wananchi kushiriki katika kampeni za upandaji miti na kuhakikisha miti iliyopandwa inalindwa na kutunzwa ipasavyo kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.


Aidha Halmashauri ikiwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Bw. Kasmir David ametoa shukrani kwa wadau mbalimbali wakiwemo Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, TANWAT, One Acre Fund Tanzania na TFS kwa mchango wao katika uoteshaji, upandaji na uhifadhi wa miti.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA WANGING'OMBE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025.. October 15, 2025
  • Itizame yote

Habari mpya

  • DKT. NINDI AAHIDI KUFANYA MKOA WA NJOMBE KUWA WA KIPEKEE ZAIDI.

    February 13, 2026
  • MITI 2,000 YAPANDWA KATIKA MJI WA IGWACHANYA-WANGING'OMBE.

    February 12, 2026
  • WAZAZI WAASWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI - WANGING’OMBE.

    February 11, 2026
  • ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (NHIF) YATOLEWA KWA WADAU WA AFYA.

    February 06, 2026
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.