• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAKUSANYO YA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 YAFIKIA ASILIMIA MIAMOJA NA TISA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING’OMBE

Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2021

Katika kipindi cha kuanzia Julai 2020 hadi machi 2021 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kupitia vyanzo vya mapato ya ndani, imefanikiwa kukusanya fedha za kitanzania kiasi cha shilingi bilioni moja na milioni miasita sawa na asilimia miamoja na tisa ya makisio ya mwaka wa fedha 2020/2021.

Akifungua kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe kilichofanyika april 30/2021 kwenye Ukumbi wa Halmashauri hiyo Kata ya Igwachanya, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe, Bi, Agnetha Mpangile amesema kiasi cha shilingi milioni thelathini na moja nukta tatu kimekusanywa kutoka vyanzo vingine vya mapato sawa na asilimia ishirini na moja ya makisio ya mwaka.

“Hapa bado hatujafanya vizuri tunatakiwa kufuatilia vyanzo hivi kwa undani ili tufanye vizuri, kwa ujumla mapato halisi ya ndani na mengineyo ni Shilingi bilioni moja nukta tisa sawa na asilimia sabini na tisa, makadirio ya mwaka wa fedha 2020/2021” amesema Mhe, Mpangile.

Awali akitoa salamu za Serikali katika Baraza hilo Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Mhe, Lauteri Kanoni alieleza kuwa Wilaya hiyo imeshamiri matukio ya vifo vya watu kujinyonga kutokana na sababu ndogondogo za kijamii ikiwemo chuki na wivu wa kimapenzi.

Aidha alisema sababu nyingine ni ramli chonganishi zinazofanywa na watu wanaojulikana kwa jina lambalamba waliopo Wilayani humo ambao hupita kwenye baadhi ya familia na kupiga ramli hizo kisha kumtaja miongoni mwa wanafamilia kuwa anajihusina na ushirikina jambo ambalo hupandikiza chuki kwa wahusika na kuamua kujinyonga.

“Jana tukiwa kwenye uzinduzi wa Mahakama hapa wataalamu wa sheria walisema mtu akifa kwa kujinyonga maana yake hakuna kesi, lakini akinusurika anapojinyonga atakamatwa na kushtakiwa kisheria, lakini tumetoka hapo leo kuna mtu kajinyonga hali hii sio njema” alieleza Mhe, Lauteri Kanoni Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Mhe, Lauteri Kanoni aliwaeleza Madiwani kuwa moto uliozuka asubuhi ya april 30/2021  katika Shule ya msingi Igima Wilayani humo haujasababisha madhara makubwa kwani Wanafunzi na Walimu wote wa Shule hiyo wapo salama zaidi umeteketeza rula kumi, pazia la dirisha na boksi moja la Vitabu.

Baadhi ya Madiwani akiwemo Mhe, Antony Mahwata wa Kata ya Igwachanya walieleza kuwa wapiga ramli chonganishi wameshamiri katika Vijiji tofauti Wilayani humo wakifanya kazi ya kutapeli Wananchi pamoja na kupandikiza chuki kwa jamii huku wakilitaka jeshi la Polisi kuwakamata wahusika hao ili kutokomeza kabisa tabia hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA LEO 09 MEI,2021 May 09, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA VITUO VYA AFYA VITATU (3) - 1,869,307,194 /=

    May 27, 2025
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, HOSPITALI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

    May 20, 2025
  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.