• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAKABIDHIANO MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI (ITULAHUMBA - IGWACHANYA)

Tarehe iliyowekwa: November 25th, 2023

Na. Mwandishi Wetu,

Nickson Kombe,


Naibu Waziri TAMISEMI, Mbunge wa Wanging'ombe, Mhe. Dkt. Festo Dugange amekabidhi makisio ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kiwango cha Lami (Itulahumba - Igwachanya) umbali wa Kilomita 19.25 yenye thamani zaidi ya Shilingi Bilioni 9.8 kwa Mkandarasi mzawa Summer Communications Co. Ltd.

Akihotubia Wananchi wa Kata ya Itulahumba na Igwachanya, Mhe. Dkt. Dugange ametoa pongezi za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameweza kusikia kilio cha wananchi wa Wanging'ombe ambao wataenda kunufaika moja kwa moja na Ujenzi wa Mradi huo.




Mhe. Dkt. Dugange amesisitiza umuhimu wa Mkandarasi ambae ameshinda zabuni ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara hiyo kutoa fursa kwa wazawa/wenyeji ambapo watasaidia katika ulinzi wa malighafi zitakazotumika kufanya ujenzi kwa sababu wao wanafahamu faida watakazonufaika nazo iwapo mradi utakamilika katika ubora unaotakiwa.

Hata hivyo katika hafla hizo za makabidhiano, Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mhe. Claudia Kitta amesisitiza ugawaji wa fursa katika usawa wa jinsia kitu ambacho moja kwa moja kitaenda kunufaisha familia. Akinukuliwa kwa usemi wa "pesa ya mama inaliwa na familia..."



Katika hafla za makabidhiano hayo zilizofanyika Kata ya Igwachanya na Itulahumba, ambapo makisio ya Barabara hiyo ya kiwango cha lami yameandaliwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) itakatiza Kata ya Itulahumba - Kilomita 14.15, Igwachanya - Kilomita 5.10. Aidha Kata zilizopakana na mradi huo kama Imalinyi, Igima, Usuka, Kidugala na Luguda pia zitanufaika kwa urahisi wa usafirishaji wa mazao, maliasili na mifugo.

Wananchi wamefurahishwa na Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Itulahumba - Igwachanya unaotarajiwa kuanza Disemba 05, 2023, ambapo utaenda kupunguza adha ya usafiri wa abiria, mazao, maliasili na mifugo yao haswa kipindi cha mvua.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.