• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAADHIMISHO YA SIKU YA FIMBO NYEUPE KITAIFA – NJOMBE MJINI

Tarehe iliyowekwa: November 28th, 2023

Na. Mwandishi Wetu,

Nickson Kombe,



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameshiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Fimbo Nyeupe Duniani ambapo kitaifa yamefanyika Njombe Mjini, yenye kaulimbiu “Upatikanaji wa Teknolojia fikivu katika Ujenzi wa Uchumi wa Kidijitali ni Mkombozi kwa mtu asiyeona na Taifa”.

Akihotubia washiriki wa vyama vya watu wasiyoona katika kilele cha maadhimisho hayo, Mhe. Prof. Ndalichako amesema Serikali itaendelea kuimarisha Ustawi wa watu wenye ulemavu nchini hususani upande wa elimu, afya miundombinu, ajira pamoja na ushiriki wao katika nafasi mbalimbali kwenye jamii. Ametoa salamu za pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ametekeleza kaulimbiu ya maadhimisho hayo ikiwa ni pamoja na utoaji wa ajira, ujumuishwaji katika maswala ya TEHAMA, uboreshaji wa miundombinu ya elimu, uwezeshaji kupitia mikopo ya wajasiriamali na upatikanaji wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu.



Aidha, Mhe. Prof. Ndalichako ametoa pongezi za dhati kwa wadau wa maendeleo ambapo wameshirikiana na Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya watu wasiyoona hapa nchini ikiwemo WHO, Sightsavers, CBM, My Right, Standing Voice na TLB.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka amewashukuru wafadhili ambao wamewezesha maadhimisho hayo na kuwaomba washiriki wote kutokusita kurudi mkoani Njombe ili aweze kuwaonyesha mafanikio ya ujasiriamali uliofanywa na watu wasiyoona na kufanikiwa sana.


Makundi ya watu wasiyoona wameshukuru kwa maadhimisho hayo ambapo yameambatana na maandamano ya umbali wa Kilomita 2 kupitia barabara kuu ya Njombe Mjini ikiwa na lengo la kuihamasisha jamii na watumiaji wote wa barabara kama vile madereva, kuiheshimu fimbo nyeupe na kumsaidia asiyeona anapotembea na anapovuka barabara.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE 31 JULAI 2024 July 31, 2024
  • KUITWA KWENYE USAIL September 27, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA UMILIKISHWAJI ARDHI February 13, 2021
  • Itizame yote

Habari mpya

  • TUZO ZATOLEWA KWA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2025, NGAZI YA WILAYA - WANGING'OMBE.

    May 16, 2025
  • VIJIJI 10 VYA WANGING'OMBE KUNUFAIKA NA HATI ZA KIMILA 3,010

    May 13, 2025
  • BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI YA MWAKA 2024/2025

    January 29, 2025
  • HERI YA SIKU YA KUZALIWA, MKURUGENZI MTENDAJI, DKT. PETER MAIGA NYANJA

    January 28, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.