KAMPENI YA AFYA NA LISHE BORA KWA WATOTO KUANZIA MIEZI 6 - 59
Tarehe iliyowekwa: December 1st, 2023
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wanging'ombe Bi. Maryam Muhaji anawatangazia wananchi kuanza kwa Kampeni ya Afya na Lishe kwa Watoto Kuanzia miezi 6 - 59 Disemba 1 - 31, 2023 kampeni hii inaambatana na utoaji wa dawa za minyoo, matone na Lishe katika vituo vya kutolea huduma za Afya.