• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Wanging'ombe yatoa Pongezi kwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan

Tarehe iliyowekwa: June 29th, 2021

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Wangingombe imefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya, katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kuiona Wanging’ombe na Kutoa fedha kwa ajili ya Utekelezaji wa miradi mbalimbali ili kuboresha huduma kwa Wananchi wake.”Napenda kumpongeza Mhe Rais wa Awamu ya sita kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwaletea maendeleo Wananchi hadi kupelekea kupata fedha hizi zinazotekeleza miradi” alisema Mwenyekiti Ndg Stephano Pesambili Kinyangadzi wakati wa ukaguzi wa miradi siku ya jumanne katika Vijiji vya Ihanja panapojengwa Hospitali ya Wilaya ikiwa ni ujenzi wa wodi tatu za Wanawake,Watoto na Wanaume,Kijiji cha Mdandu panapojengwa Madarasa mawili na Ofisi,Makoga panapojengwa Kituo cha Afya na ukarabati wa jengo la Utawala katika Shule ya Sekondari Makoga,Samaria panapojengwa Zahanati ya Kijiji na Masage panapojengwa Madarasa mawili pamoja na Ofisi.Pia Mwenyekiti alitoa Pongezi kwa Mhe Mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi Ndg Festo John Dugange kwa kazi nzuri anayoifanya na kumwomba aendelee na moyo huo ambao ameanza nao kwani ameleta fedha nyingi kwa kipindi kifupi ambazo kila Kata imeguswa.

Zikisomwa Taarifa za utekelezaji wa miradi hiyo Jumla ya fedha takribani Millioni 800 zimetolewa na Serikali kutekeleza Miradi hiyo na hatua ya utekelezaji ikiwa katika hatua za umaliziaji.

Aidha katika ziara hiyo alikuwepo Mhe Mkuu wa Wilaya Ndg Lautery Kanoni ambae pia ni mjumbe wa Kamati ya Siasa pamoja na Wataalmu kutoka Halmashauri ambapo Mhe Mkuu wa Wilaya aliwapongeza wataalamu na Wananchi kwa kusimamia na kutekeleza miradi vizuri licha ya changamoto ndogondogo zilizopo alimhakikishia Mwenyekiti kuwa atasimamia vema shughuli hizi ili kuhakikisha Miradi inakamilika kwa wakati ikiwa yenye Kiwango kwa sababu yeye ndie msimamizi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JIMBO LA WANGING'OMBE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025.. October 15, 2025
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MCHUNGAJI AJITOLEA UKAMILISHAJI WA MADARASA MAWILI, S/M LUGODA

    October 07, 2025
  • HERI YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2025.

    October 07, 2025
  • KAMATI YA USALAMA WILAYA YARIDHISHWA NA MIRADI SEKTA YA AFYA NA ELIMU - WANGING'OMBE.

    October 06, 2025
  • DC AAHIDI MATENGENEZO YA BARABARA ZA IVIGO – WANGING’OMBE

    October 02, 2025
  • Itizame yote

Video

MAKALA YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WILAYA YA WANGING'OMBE
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • Registration Of Allied Health Professionals
  • Mfumo wa maombi ya Ajira
  • baraza la taifa la elimu ya ufundi

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • Mfumo wa Malalamiko na Pongezi
  • UTUMISHI
  • MFUMO WA SIS(SCHOOL INFORMATION SYSTEM)
  • TAMISEMI
  • BUNGE

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.