Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anawatangazia wafanya biashara wote wa kijiji cha Igwachanya kuwa wanatakiwa kulipia ada ya bango la biashara kabla ya tarehe 15/03/2017. Baada ya hapo Mtatakiwa kulipa ada hiyo na adhabu ya shilingi 50000
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.