Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anapenda kuwatangazia Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Wangingombe nafasi za kazi Vibarua wa kukusanya Mapato katika Mageti na Maeneo mengine yaliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.Bofya hapa kuona TangazoTANGAZO AJIRA.pdf
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.