Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho Wilaya ya Wanging'ombe inawatangazia Wananchi wote kuwa zoezi la uandikishaji kwa ajili ya Kupata Vitambulisho vya Taifa linaendelea hivyo mnataarifiwa kufika katika ofisi za watendaji wa vijiji kwa ajili ya Kujiandikisha.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.