Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anapenda kuwatangazia wafanya biashara wote kuwa wanatakiwa kulipia Lesseni zao za biashara kabla hatua nyingine hazijachukuliwa