Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anapenda kuwakaribisha watumishi wote wapya waliopangiwa kufanya kazi Katika Halmashauri ya Wanging'ombe.Kwa maelezo na Msaada piga simu kupitia namba hizi:
1.Mkurugenzi mtendaji:0767140471
2.Afisa Utumishi:0755378340
3.Afisa Elimu Sekondari:0757393961
4.Afisa Elimu Msingi:0754502281
5.Mganga Mkuu wa Wilaya:0784540312
Katibu wa Afya:0745898037
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.