Kwa niaba ya Baraza la Waheshimiwa Madiwani , Napenda Kuwa karibisha kwenye Tovuti yetu ya Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe.Ndani ya Tovuti hii mtapata taarifa za shughuli za maendeleo na uchumi, matangazo ya zabuni, Fursa za Uwekezaji na vivutio vya kitalii vilivyopo ndani ya Wilaya yetu.
Pia Tovuti hii ni mahususi kwa Kuhakikisha habari na matukio mbalimbali yanayojili ndani na nje ya Wilaya ya Wanging’ombe yanawafikia kwa usahihi na kwa wakati.
Mwisho natoa shukrani za dhati kwa Ofisi ya Raisi Tamisemi –Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa uanzishaji wa Tovuti kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa .
Agnetha Mpangile
MWENYEKITI
H/W YA WANGING’OMBE
Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.
Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe
Simu ya mezani: +255 262969033
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz
Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa