• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TAALUMA WANGING'OMBE KUPANDA ZAIDI

Tarehe iliyowekwa: July 28th, 2018

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeikabidhi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe pikipiki 21 zenye thamani ya milioni 63 kwa ajili ya maafisa elimu ngazi ya kata ili kurahisisha utekelezaji wa shughuri za elimu sambamba na kukuza kiwango cha elimu.

Akizungumza katika zoezi la makabidhiano ya pikipiki hizo kutoka TAMISEMI Salumu Mkuya,amesema serikali inatambua changamoto ya usafiri iliyokuwa ikiwakabili maafisa elimu nchini na kuamua kutoa pikipiki kwa ajili ya kufika kila kata kwa wakati ili kuinua kiwango cha elimu.

“Hizi pikipiki mmepewa mfike kila kata hata zilizopo pembezoni muende mkainue kiwango cha elimu….mlete mabadiliko cha chanya ya kuinua ufaulu” amesema Mkuya.

Aidha, ametoa rai kwa Maafisa hao kuhakikisha wanavitunza na kwamba Serikali inatendelea kuboresha sekta ya elimu ili kuzalisha wataalamu watakaotumiwa kwenye uchumi wa viwanda.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Ally Kassinge,amewataka maafisa hao kutumia pikipiki hizo kuchochea kupanda kwa ufaulu na zisitumike tofauti na dhamira ya Serikali Kuu.

“Pikipiki hizi lengo lake ni kwenda kuchochea ufaulu na si kwamba mkazitumie tofauti na dhamira ya serikali…mvitunze kikipotea kimepotea chako inamaana ikitokea tu utawajibika” amesema Kassinge.

Jumla ya pikipiki 106 zimetolewa kwa Mkoa wa Njombe zenye thamani ya milioni 318 ambapo Makete 23, Ludewa 25, Makambako 12, Njombe wilaya 12, Njombe Mji 13.

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA UALIMU SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI March 02, 2019
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 18, 2019
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA July 09, 2019
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAENDELEO YA NCHI YATALETWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA KUPITIA CHF ILIYOBORESHWA

    November 07, 2019
  • MAPATO YA NDANI YAAKISI MAENDELEO YA KWELI KWA WANANCHI “KASINGE”

    August 01, 2019
  • KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI (RAMBO)

    May 13, 2019
  • Shilingi Milioni 94 kuwanufaisha akina Mama,Vijana na Walemavu Wanging'ombe

    January 23, 2019
  • Itizame yote

Video

Fahamu kuhusu virusi vya corona
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • Halmashauri ya Mji Makambako
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.

    Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe

    Simu ya mezani: +255 262969033

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa