• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MAENDELEO YA NCHI YATALETWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA KUPITIA CHF ILIYOBORESHWA

Tarehe iliyowekwa: November 7th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Comrade Ally Kasinge amewahamasisha Wananchi wa Wilaya ya Wanging'ombe kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya ya jamii iliyoboreshwa . Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo katika kijiji cha Chalowe tarehe 7/11/2019 wakati wa sherehe za uzinduzi wa uandikishaji wananchi katika CHF iliyoboreshwa .

"Nawaagiza wananchi wote kuhakikisha mnajiunga na mfuko wa Bima ya Afya ya jamii iliyoboreshwa kwani ina faida nyingi ikiwemo kutibiwa katika hospital yeyote ya Serikali ndani ya Mkoa na ongezeko la wigo wa huduma za afya tofauti na ilivyokuwa awali " Alisema Kasinge.

Katika uzinduzi huo Mkuu wa Wilaya aliongozana na M/kiti wa Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji na Wataalamu wa afya wa Wilaya pamoja na Afisa TEHAMA Bw Amon Chalamila ambae ndio msimamizi wa mfumo huo. Akitoa hotuba  M/kiti wa Halmashauri Mhe Antony Mahwata aliwasisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuweza kutumia fursa hiyo ambayo Serikali ya Awamu ya tano ameamua kuboresha huduma za Afya. Nae Mkurugenzi Mtendaji aliwaasa wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa ili waweze kupata fursa ya kutibiwa wakati wamepata maradhi.

"Ndugu zangu maradhi huwa hayabishi hodi , unaweza ukapatwa na ugonjwa wakati wowote ule ambapo hauna fedha hivyo kwa kulipia shilingi 30,000/= kwa kaya yenye watu 06 itawasaidia kupata huduma za matibabu muda wowote" Alisema Edes Lukoa.

Mkuu wa Wilaya ametumia fursa hiyo kuwataka wahusika wote kuanzia ngazi ya Wilaya hadi kijiji kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika CHF iliyoboreshwa.

Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati April 01, 2021
  • SIS MOBILE APPLICATION April 01, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA UALIMU SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI March 02, 2019
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 18, 2019
  • Itizame yote

Habari mpya

  • NAIBU WAZIRI TAMISEMI DR DUGANGE ATOA WITO KWA WATUMISHI WA AFYA NCHINI KUFANYA KAZI KWA KUZUNGATIA MAADILI

    April 10, 2021
  • ZAIDI YA MILIONI MIANNE ZA TENGWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU WILAYANI WANGING’OMBE MKOANI NJOMBE

    April 09, 2021
  • MAELEKEZO YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS – TAMISEMI, MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB.) KUHUSU MATOKEO YA UKAGUZI WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/20

    April 10, 2021
  • MAENDELEO YA NCHI YATALETWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA KUPITIA CHF ILIYOBORESHWA

    November 07, 2019
  • Itizame yote

Video

Fahamu kuhusu virusi vya corona
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • Halmashauri ya Mji Makambako
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.

    Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe

    Simu ya mezani: +255 262969033

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa