Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe anawajulisha kuwa fomu za kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 zimeishaandaliwa.Ili kuona na kupakua Fomu hizo kwa kila shule bofya viungo hapa chini
Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.
Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe
Simu ya mezani: +255 262969033
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz
Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa